Showing posts with label Ufumaji kwa ribbon. Show all posts
Showing posts with label Ufumaji kwa ribbon. Show all posts

Wednesday, August 18, 2010

Ufumaji...kutoka Denmark

Images courtesy rice

Kufuma au kuchanganya vitambaa kunapendezesha.Hivi ni kutoka duka liitwalo Rice , Denmark. Kwa kufuma unaweza kupendeza nyumba yako au kufuma kwa ajili ya kumpa mtu zawadi au biashara.Enjoy!