imagevia acupofjo
Wallpapers hupendeza,kama hii ya mistari imetulia pia kwa wale vijana wa kiume ambao hawapendelei rangi za kuwaka hii inapendeza. Pia hiyo ni jinsi nyingine ya kupamba picha za familia na usipendazo ukutani.Enjoy!
Sunday, February 13, 2011
Tuesday, February 8, 2011
Sunday, February 6, 2011
Jitengenezee meza ndogo
images courtesy of designsponge
Fundiselemala si kwamba hatukupi biashara ila leo tunabana matumizi kidogo na vilevile hii tunaweza kufanya wenyewe.Haya angalia hapa jinsi walivyotengeneza hilo gogo kuwa stuli/meza kama picha ya pili inavyoonyesha.Unaweza....Enjoy!
Thursday, February 3, 2011
Tuesday, February 1, 2011
Subscribe to:
Posts (Atom)















