Thursday, November 4, 2010

Pink na picha ukutani...



image courtesy inmyhousedesign.
Rangi ya pink hupendeza ,pia kuweka picha uipendayo ukutano inapendeza na kukufanya ujisikie nyumbani.Enjoy!

Wednesday, November 3, 2010

Modern Wooden Bed


Furniture Blogs -  In addition to the bed which is equipped with an automatic built-in lights that can create wonderful atmosphere in the bedroom. In white lacquer finish looks ultra-modern, but also available in oak Wenge, Cherry Oak, Teak. If you are looking for high quality contemporary bed then you should check a company’s production Prealpi Italy. This company has a long story and a great experience in the production of bedroom furniture. All beds are made of solid wood and looks very stylish.



Monday, October 18, 2010

Bloggers wa fashion na lifestyle wanahitajika

Runaway Passport  huwa wanapromote designers wanaochipukia kutoka sehemu mbalimbali duniani.Hivi karibuni watakuwa na Swahili Fashion week Dar-Es-Salaam.

Wamewasiliana nami wanahitaji bloggers walioko Tanzania especially bloggers wa fashion na lifestyle ambao watapenda kuandika articles kuhusu fashion na urembo wa Tanzania. Kama uko interested kufanya hivyo nitumie jina na contact yako niliwasilishe harafu watasiliana nawe kwa details zote.Articles zitatakiwa ziandikwe kwa Kingereza.

Saturday, October 9, 2010

Hatua moja,mbili...mpaka Flickr..Hujachelewa.




Images copyright absolutelyawesomethings

absolutelyawesomethings (AAT) na Sophie's Club (SC) hazikubaki nyuma bali zimepiga hatua sasa original picha zake ( styling photographs) zipo flickr ,ukiclick flickr/absolutelyawesomethings utazipata.Enjoy!Pia weka picha flickr kuna faida nyingi natumaini unafahamu,kama hufahamu na utapenda niongelee hilo acha comment au tuma email.Enjoy!

Friday, October 1, 2010

Nani asiyependa maua?...




Images courtesy of marieclairemaison Nani asiyependa maua?kama yupo sijui atakuwa na sababu gani ,kama hayupo basi jaribu kuweka/kupamba maua sehemu mbalimbali za nyumba yako,ofisi n.k na tumia/kusanya vyombo vyenye maua katika mkusanyiko wa vyombo ulivyo navyo.Namna hii  utafurahia kila mara utumiapo vyombo hivi au unapokaa sehemu iliyopambwa vizuri  na pia kwa kuweka maua,  rangi mbalimbali na mapambo utawapa furaha waliokuzunguka.Kuna ule msemo usemao ni  mkusanyiko wa vidogo vidogo vinavyoyafanya maisha kuwa ya furaha.Jaribu na enjoy!

Tuesday, September 28, 2010

Contemporary Apartment Decorating


The main wall of a public area wearing his full height glass panel, while the study raised above the main floor level and is defined by a different floor finish. A dark wood veneer wall unit form the edge of living space and presents a series of columns involved strongly that house audio-visual equipment, CDs, DVDs, etc. sliding screens that are part of the composition of the unit when closed to hide a plasma screen. It all makes the area look very unusual and overall impression of the apartments to be very glamorous. Who’s sad that a modern and glamorous interiors have a cold? While this redesign apartment in Mission Point, Stanic Harding made him not only glamorous but also warm and comfortable. Kitchen-dining room apartment living combined with the zone-enter the public areas clearly separated from the private sector. Two bedrooms are very well connected to the natural light and views outside the Harbour that they appear larger in size than them.