Image via
 mixrUpambaji si tu uwe na vitu vipya bali tumia ulivyonavyo na changanya na vya zamani na rangi mbalimbali. mfano picha hizi kutoka 
mirx  unaona kabati sio jipya ,meza sio mpya ila mpangilio mzuri na rangi za kuvutia. Pia angalia vizuri picha ya tatu utaona mkeka. Watu wengi tunadhani kupamba nyumba zetu lazima vitu viwe vya bei mbaya na vipya .Kumbuka vitu vyako ulivyo navyo vina historia na ukumbusho namna hii unaifanya nyumba yako iwe ya kipekee isifanane na mwingine. Sare sare inachosha.Enjoy!
 
No comments:
Post a Comment