Tuesday, May 31, 2011
Monday, May 16, 2011
Wapenzi wa SophiesClub...nitarudi karibuni.
In memory of my Sweet Brother,Tunakupenda sana.
japokuwa kifo ni mwisho wa maisha ya duniani lakini sio mwisho wa uhusiano.
Nakupenda sana Kaka yangu.
Wapenzi wa Sophies Club,sijawasahau.Nimejipa likizo kuomboleza msiba wa Kaka yangu mpenzi (Baba Emma) uliotokea miezi miwili iliyopita.Imebidi nijipe likizo ndefu ili nikusanye nguvu,nitarudi karibuni kujumuika nanyi. Wakati huo nakuomba burudika na blog ya Mpwa wangu Emma, hapa. Asanteni sana kwa kutembelea SC .Enjoy,tenda wema na mpende jirani yako maisha ni mafupi.Karibu tena na tena.
Subscribe to:
Posts (Atom)