Thursday, October 21, 2010
Monday, October 18, 2010
Bloggers wa fashion na lifestyle wanahitajika
Runaway Passport huwa wanapromote designers wanaochipukia kutoka sehemu mbalimbali duniani.Hivi karibuni watakuwa na Swahili Fashion week Dar-Es-Salaam.
Wamewasiliana nami wanahitaji bloggers walioko Tanzania especially bloggers wa fashion na lifestyle ambao watapenda kuandika articles kuhusu fashion na urembo wa Tanzania. Kama uko interested kufanya hivyo nitumie jina na contact yako niliwasilishe harafu watasiliana nawe kwa details zote.Articles zitatakiwa ziandikwe kwa Kingereza.

Saturday, October 9, 2010
Hatua moja,mbili...mpaka Flickr..Hujachelewa.
Images copyright absolutelyawesomethings
absolutelyawesomethings (AAT) na Sophie's Club (SC) hazikubaki nyuma bali zimepiga hatua sasa original picha zake ( styling photographs) zipo flickr ,ukiclick flickr/absolutelyawesomethings utazipata.Enjoy!Pia weka picha flickr kuna faida nyingi natumaini unafahamu,kama hufahamu na utapenda niongelee hilo acha comment au tuma email.Enjoy!
Friday, October 1, 2010
Nani asiyependa maua?...
Images courtesy of marieclairemaison Nani asiyependa maua?kama yupo sijui atakuwa na sababu gani ,kama hayupo basi jaribu kuweka/kupamba maua sehemu mbalimbali za nyumba yako,ofisi n.k na tumia/kusanya vyombo vyenye maua katika mkusanyiko wa vyombo ulivyo navyo.Namna hii utafurahia kila mara utumiapo vyombo hivi au unapokaa sehemu iliyopambwa vizuri na pia kwa kuweka maua, rangi mbalimbali na mapambo utawapa furaha waliokuzunguka.Kuna ule msemo usemao ni mkusanyiko wa vidogo vidogo vinavyoyafanya maisha kuwa ya furaha.Jaribu na enjoy!
Subscribe to:
Posts (Atom)